FASDO Cup Football Tournament

Join the competition

The FASDO Cup is a football tournament which aims to promote football talents among the youth. We use this as a way of discovering, nurturing and developing football talents ultimately so that they can become professionals and generate an income through football, hence participating in eradicating poverty.

General Guidelines 

  1. Lengo la mashindano haya ni kuwapa nafasi vijana wenye umri chini ya miaka kumi na saba kujipima na kuonesha vipaji vyao katika mchezo wa mpira wa miguu hivyo basi mchezaji ni lazima awe na umri chini ya miaka kumi na saba na si zaidi ya hapo.

  2. Pamoja na kujaza fomu ya kujiunga na mashindano kila timu itatakiwa kusajili wachezaji itakao watumia kwenye mashindano ambapo mchezaji atajaza fomu ya usajili ambayo itakua na taarifa zake pamoja na picha yake, hii itasaidia kuepuka udanganyifu wakati mashindno yanaendelea.

  3. Endapo mchezaji yeyote atatiliwa shaka juu ya umri  tutaomba cheti chake cha kuzaliwa au tutafuatilia historia yake hasa ya shule ili kuthibitisha umri wake.

Eligibility and Criteria

  1. Kwa kuwa lengo la mashindano haya ni kuwapa nafasi vijana chini ya umri wa miaka ya kumi na saba kuonesha vipaji vyao ni wajibu wa kila timu kutoa ushirikiano kuwabaini wachezaji waliozidi umri huo. Hii itasaidia walengwa kunufaika na mradi.

  2. Timu yoyote itakayobainika kumtumia mchezaji ambae hakuorodheshwa kwenye fomu hii au mwenye umri zaidi ya miaka iliyotajwa kwenye mashindano basi timu hiyo itanyang'anywa ushindi na kupewa timu iliyocheza nayo. 

  3. Michezo ni furaha na upendo hivyo basi mashindano haya yataendeshwa kwa amani ya hali ya juu kwa hiyo timu yoyote itakayofanya vitendo vya uvunjifu wa amani pamoja na kuondolewa kwenye mashindano pia itachukuliwa hatua za kisheria.

  4. Mashindano yataendeshwa kwa mtindo wa makundi na kila kundi litakuwa na timu nne na timu mbili zitakazo shika nafasi za juu zitafanikiwa kuingia  raundi ya kwanza, robo fainali, nusu fainali hadi fainali.

  5. Mashindano yataendshwa kwa kufuata kanuni na sheria  zinazosimamiwa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF. 

  6. Timu itakayoshindwa kufika uwanjani bila taarifa yoyote ile mwamuzi ataita timu pinzani uwanjani na baada ya dakika therathini (30) atavunja pambano na timu pinzani itapewa ushindi.

  7. Timu itakayokua na malalamiko inatakiwa kutoa malalamiko yake kwa kamati ya mashindano ndani ya masaa ishirini na nne (24) zaidi ya hapo malalamiko hayatapokelewa.

  8. Kama zilivyo taratibu za mashindano zawadi zote zitatolewa siku ya fainali na mchezaji au timu ambayo haitatokea siku hiyo itakua imejikosesha zawadi kwa hiyo waandaaji wa mashindano hawatawajibika.

Deadlines

Fomu zitajazwa na kuwasiliswa kabla ya tarehe 28.03.2020 hapa au kuwasiliswa katika ofisi zetu Tandika maghorofani, Mtaa wa Kipungo plot # 6 A baada ya hapo fomu haitapokelewa. 

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 071326579, 0717651000.

Screening Process

Timu zote zitakazo shiriki katika shindano la FASDO wana shauriwa kufanya vipimo vya afya kwa wachezaji wao kabla ya mashindano kuanza.

Prize

First winner        Tsh  2,000,000.00

Second winner   Tsh  1,000,000.00

Third winner       Tsh     500,000.00