Mbunifu Mitindo Kijana

Mbunifu Mitindo Kijana

Kipengere hiki kinalenga kutafuta vijana wenye umri usiozidi miaka 28, wenye mapenzi katika ubunifu mitindo, kipengere hiki kinalenga kuwasaidia wabunifu mitindo vijana kuona fursa mbalimbali zilizoko mbele yao. Washiriki katika kipengere hiki wanatakiwa:

  • kuwa raia wa Tanzania mwenye umri usiozidi  miaka 28 wakati wa kujiandikisha kushiriki shindano.
  • mwenye mapenzi ya dhati ya kuwa mbunifu mitindo.
  • atatakiwa atume picha mnato au video au vyote (jumla tatu) zinazoonyesha kazi zake za kibunifu
  • Kazi zote lazima ziakisi kauli mbiu  MIMI NI MWAFRIKA.
  • Ubunifu huo ni lazima uwakilishe utamaduni wa kitanzania

KUMBUKA: Washindi wa mashindano yaliyopita ya FASDO hawaruhusiwi kushiriki.

Tuma kazi yako hapa!

Go to top